
Raisi wa zamani wa senegal Abdulaye wade arudi nyumbani kwao senega kwaajili ya kugombea ubunge
raisi huyo ambae aliishi uhamishoni ufaransa kwa miaka mingi ameamua kurudi na kuja kugombea ubunge nyumbani kwenye taifa ambalo alishawai liongoza akiwa raisi
alisema ameamua kurudi ili awatumikie watu wa senegali kwakuwa wana mwitaji awasaidie katika kuleta maendelei
hatua hii imewashangaza wengi ila yeye amesema ni uamuzi sahihi kwake kuwatumikia tena watu wa senegali akiwa kama mbunge
Tags
Kimataifa