
Baada ya kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milion kumi mbunge wa kawe Halima mdee asema mapambano yanaendelea
kupitia ukurasa wake wa twita mdee aliwashukuru wale wote walio paza sauti mpaka haki ikatendeka na kuwahaidi kuwa mapambano yanaendelea kumwokoa mtoto wa kike
mdee alikamatwa na polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya kinondoni Ally hapi na baadae kupandishwa mahakamani kwa kosa la kumtukana raisi
mdee ana tuhumiwa kutenda kosa hilo alipokuwa akiongea na wabahabari ambapo alisema " raisi anaingea hovyo inabidi afungwe brek"
baada ya kupandishwa mahakamani alikana mashitaka na kesi yaje kuhailishwa kwakuwa uchubguzi haukukamilika
Tags
Kitaifa