Mpangaji chumba cha pili....sehemu ya kwanza

Admin
By -
1 minute read
0

Baada ya kuwa nimeishi muda mrefu kwa wazazi nikaamua nikaanze maisha yangu binafsi mbali na nyumbani ndipo nikaamua nikatafute nyumba ya kupanga ndipo nikafanikiwa kupata chumba cha kupanga mitaa ya manzese.

Baada ya kupata chumba dalali akanipeleka mpaka kilipo hicho chumba na kwakweli nilivutiwa nacho tena saana kutokana na mazingira ambapo chumba hicho kinapatikana ingawa ni uswahilini lakini kulikuwa kumetulia tena saaaana

Nilipofika nikakutana na mama mwenue nyumba ambae alinipa utaratibu na ikiwemo kusaini  mkataba maana Siku za sasa mikataba ni muhimu tena sana

Baada ya kumaliza taratibu zote ndipo nilipoanza kuamisha baadhi ya vitu vyangu vichache nilivyokuwa nimenunua kwaajili ya kuanza  maisha yangu ya kujitegemea

Katika nyumba hiyo niliyopanga kuna wapangaji tofauti tofauti wengine  walikuwa ni mke  na mume lakini kuna dada mmoja wa chumba cha karibu yangu ambae alikuwa ni mdada wa saluni alikuwa akiishi pekeyake hakuwa na mume yaani alikuwa single kama Mimi...

INAENDELEA.......

Mtunzi:Steve christian
0713861567

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)