jeshi la polisi nchini kenya limekili kuwakamata na kuwafunga raia watano watanzania baada ya kukamatwa wakiomba mtaani
watanzania hao wamekamatwa kwenye mji wa Kerugoya nchini kenya baada ya kukamatwa wakiomba mtaani
watanzania hao walipandishwa kizimbani na kujibu mashitaka ya kuingia kenya bila kibari na kusumbua watu kwa kuomba omba
mahakama ili wahukumu faini ya KSH 20000 au jera miezi mitatu lakini walishindwa kuripa hivyo wanatumikia kifungo
miongoni mwa omba omba hao mmoja ni bubu hivyo kesi yake imehailishwa wakisubili kupatikana kwa mtu anae tafasiri lugha ili kesi yake isomwe
walipoulizwa walikili kuingia kenya bila vibari na kuishi humo wakiwa kama omba omba
mkuu wa polisi kwenye mji huo amesema msako unaendelea kwa omba omba hata ambao ni raia wa kenya kwakuwa wamekuwa kero kwenye mji huo
raia watano wa tanzania wahukumiwa kenya baada ya kuwa omba omba
By -
October 01, 2017
0
Tags: