Iphone X yatolewa kasoro nchini marekani

Admin
By -
0
kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya kierectoniki ya Apple ili tambulisha simu yake mpya aina ya iphone X lakini tayari imesha kosolewa

simu hiyo imekosorewa nchini marekani kuhusiana na mfumo wake wa kufungua kwa kutumia sura ya mwenye simu

wataalamu wamesema aina hiyo ya ufunguaji wa simu huenda italeta shida siku zijazo hasa kwa mapacha watakapo itumia

pia wamesema watoto wa chini ya miaka 13 watashindwa kuitumia.simu hii kutokana na mfumo wake kuwa mgumu

wataalamu hao wameshauli watengenezaji wa simu hiyo kuongeza aina nyingine ya ufunguaji wa simu hiyo ili isilete shida kwa watumiaji

pia simu mpya ya Iphone 8 ili kosolewa kuhusu mfumo wake wa sauti na walihaidi kuli shughulikia tatizo hilo halaka
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)