Aliyekuwa katibu wa uenezi wa chama cha ccm Staford Emanuel wilayani nyasa atangaza kuhamia chadema
katibu huyo kipindi ana kabidhi kadi ya ccm na kuchukuwa ya chadema alisema muda wa ukombozi umefika ameamua kuchagua chaguo sahii
amesema kwenye ccm wapo watu wengi tuu wanao fikilia kuhama lakini wamekuwa wakijitegea lakini yeye ameamua kuhama kwakuwa muda wa kuikomboa Tanzania umefika
amesema uamuzi wake kuhama hauna msukumo wa mtu zaidi ya hisia zake kumtuma kuwa anatakiwa kuwa kwenye njia sahihi
Post a Comment
0Comments
3/related/default