nchini ujerumani kumefanyika tukio kubwa la kihistoria baada ya kufungwa kwa ndoa za jinsia moja
katika nchi nyingi serikali zimekuwa zikipata kigugumizi kuruhusu ndoa za mashoga lakini bunge la ujerumani limelizia
baada ya kulidhia hatimae ndoa zimefungwa leo ambapo ndoa hizo zina tambulika kiserikali kwenye sheria
baadhi ya wahusika wa mahusiano ya jinsia moja wamesema wamefurai kuwa huru na kutambulika kiserikali
baada ya kufunga ndoa watakuwa huru kupanga watoto na.hata wakiachana mahakama itawasimamia kuwapa haki stahiki baada ya kuachana
ndoa za watu wa jinsia moja zafanyika kwa mala ya kwanza ujerumani
By -
October 01, 20170 minute read
0
Tags: