ndege moja ya kampuni ya Airfrance injini yake ilihalibika huku ndege ikiwa angani
ndege hiyo ya aina ya Airbus 380 ilikuwa na abilia wapatao 500 ikisafiri kutoka mjini paris kuelekea mjini los angelos nchini marekani
baada ya kupata tatizo hilo ndege hiyo ili lazimika kutua kwa dharula kwenye uwanja wa kijeshi wa Goose bay nchini Canada
kwa mujibu wa taarifa hakuna aliye pata tatizo miongoni mwa abilia walio kuwepo kwenye ndege hiyo
Post a Comment
0Comments