ndege ya jeshi la DRC imeanguka na kukadiliwa kuuwa wanajeshi kumi walio kuwemo ndani ya ndege
ndege hiyo ya jeshi ili pata matatizo wakati ikipaa kwenye uwanja mmoja wa ndege jijini kinshasa
kwa mujibu wa maelezo ya jeshi ndege hiyo ilibeba wanajeshi na mizigo na wakati ikipaa ili shindwa kupaa vizuri
hakuna manusura aliye salimika kutoka ndani ya ndege hiyo na wala haluna taarifa za kuuawa au kujeruhiwa watu wachini kwakuwa ndege hiyo iliangula kwenye makazi ya watu
Post a Comment
0Comments