msanii na mbunge wa jimbo la mikumi JOSEPH HAULE (PR JAY) amebomolewa nyumba yake na tanrod baada ya kujenga barabarani
kupitia ukurasa wake wa instagram msanii huyo amesema nyumba yake imebomolewa na watu wa Tanroads bila ya kumpa taarifa
amesema kipindi wanafanya zoezi hilo yeye alikuwa jimboni kwake mikumi na hakuwa na taarifa ya kuwa wanakuja kubomoa nyumba yake hatua iliyo msikitisha
mbaya zaidi anasema wamebomoa mudaambao kisheria siyo muda wa kazi na walitakiwa wampe taarifa lakini hawakufanya hivyo
baada ya kutokea kwa tukio hilo yeye amesema amelipokea kwa mikono miwili ingawa limemuumiza kupoteza nyumba na baadhi ya vitu vyake na amechukulia kama changamoto za maisha
Post a Comment
0Comments
3/related/default