Mahakama kuu ya tanzania yawahukumu miaka 35 jela polisi wawili baada ya kukutwa na nyara za serikali na kujihusisha na ujangili.
askari hao wawili wa kituo cha Oysterbay mjini dar es salaam ambao walitajwa kwa majina ya Senga nyembo na Issa mtama
askari hao wakiwa na wenzao walikamatwa kwenye kizuizi cha ukaguzi wilayani kisarawe mkoani pwani wakiwa na meno ya tembo 70 yenye thamani ya shilingi milioni 800
mahakama imewahukumu kifungo cha miaka 35 jela.baada ya kujiridhisha na ushahidi ulio tolewa huku mahakama ikitoa adhabu hiyo ili iwe fundisho kwa watu wengine