MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ASEMA HANA TAARIFA KUHUSU OFISI MPYA YA CUF

Admin
By -
0

Kufuatia maalim seifu na wafuasi wake kufungua ofisi mpya maeneo ya mtaa wa idrissa magomeni msajili wa vyama kasema hana taarifa

akiongea na gazeti moja jaji fransics mutungi amesema hana taarifa za CUF kufungua ofisi mpya mpaka sasa

pia jaji kasema anaimani.CUF wanaijua sheria kuhusu kufungua ifisi mopya na anatumai kama kweli wamefungua watamtaarifu wakiwa sawa

pia amesema sheria inasema kuwa wanatakiwa kutoa taarifa ndani ya siku 14 hivyo basi muda bado haujaisha wa CUF kuleta taarifa kwake

hatua ya maalim seif kufungua ofisi nyingine umekija baada ya migongano ya mara kwa mara iliyo kuwa ikitokea baina ya wanachama wa CUF


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)