Maafisa wa polisi nchini china wamemkamata mwanamke akiwa na mkoba wenye cocain
maafisa hao wamesibitisha kumkamata mwanamke mmoja kutoka amerika ya kusini akiwa na mkoba ambao umetengenezwa kwa madawa ya kurevys haina ya cocain
polisi wamesema walipo ukagua mkoba huo waliitilia mashaka kwakuwa ulikuwa ni mweusi sana na ulikuwa mzito kupita kiasi ndipo wakaupekua na kuukuta na cocain kilo gram 10
pia biashara ya madawa ya kulevya nchini china ni kosa kubwa ambapo atakae kutwa na gram zaidi ya hamsini huukumiwa kunyongwa
AKAMATWA NA MKOBA ULIO TENGENEZWA KWA COCAIN
By -
June 07, 2017
0
Tags: