Jeshi la wananchi JWTZ limewataadharisha wananchi juu ya utapeli unao endelea
akiongea na wana habari meja jenarali Harisson masebo alisema kumekuwa na vikundi vya watu wanao watapeli watu mitaani
amesema wapo watu wanao wadanganya watu kuwapa nafasi za kujiunga na jeshi na huwachukulia pesa zao na badae kutokomea
meja amesema hakuna nafsi zozote za kujiunga na jeshi kwa sasa zilizo tangazwa hivyo basi wananchi wasirubuniwe na matapeli
amesema jeshi litakapo itaji kuajili litatoa taarifa kamili kupitia vyombo vyake na watatoa taarifa kwa uma kila mmoja atasikia
pia amesisitiza jeshi haliajili kihorela vyombo vyote vya ulinzi huchukuwa vijana.JKT na sio mtaani kama watu wanavyo rubuniwa
pia jeshi limesema linaitaji ushilikiano na raia kuwabaini waharifu hao ili wawachukulie atua za kisheria
JESHI LATAADHALISHA JUU YA UTAPELI
By -
June 07, 2017
0
Tags: