Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya ACT mama Anna amesema yeye sio mpinga maendeleo
baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro maneno mengi yalizuka kuhusu kuchaguliwa kwake kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro
baada ya kuapishwa alisema yeye syo mpinga maendeleo hivyo basi hawezi kukataa kuchukuwa nafasi hiyo aliyo teuliwa
alisema anaenda kusimamia maendeleo ya mkoa na kila chama kinapigania maendeleo hivyo atakwenda kusimamia maendeleo ya mkoa wa kilimanjaro
mama.Anna nimwenyekiti wa ACT wazarendo na ameenda kuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro nampka sasa haijajulikana hatima ya uenyekiti wake
RC KILIMANJARO ASEMA YEYE SI MPINGA MAENDELEO
By -
June 06, 2017
0
Tags: