ACT WAMVUA UWENYEKITI ANNA MGHWIRA

Admin
By -
0

Kufuatia kukubari kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro aliyekuwa mwenye kiti ACT avuliwa uanachama

taarifa hiyo imetorewa na katibu wa itifaki na uenezi bwana Ado shahibu mbele ya wanahabari leo

ACT walihaidi kukaa kikao kujadili ndipo wakaja na maamuzi ya kumvua uenyekiti


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)