Waandaaji wa tuzo za muziki nchini marekani zijulikanazo kama.BET award watangaza kumpa tuzo YVONE CHAKACHAKA
waandaaji hao wametangaza kumpa tuzo hiyo ya heshima kutokana na mambo makubwa aliyo yafanya katika mziki wa afrika na duniani kwa ujumla
mwenyewe amesema amepokea taarifa hizo kwashangao kwakuwa hakutarajia kupewa heshima hiyo kutoka kwa waandaaji hao wa kubwa wa tuzo duniani
kwa sasa mwanamziki huyo yupo kimya akiandaa album yake mpya ambayo haijatajwa jina lake
mwanamuziki huyo alisumbua saana miaka ya tisini nakufanikiwa kuchukuwa tuzo nyingi zikiwemo pia tuzo za BET pia
BET KUMPA TUZO YA HESHIMA YVONE CHAKACHAKA
By -
June 09, 20170 minute read
0
Tags: