MWANAMKE MWENYE DALILI HIZI SI CHAGUO JEMA KWAKO

Admin
By -
0

Reo nimeona tushilikishane baadhi ya vitu katika mahusiano yetu hasa kwa wenye marengo ya kuwa na familia

kuna baadhi ya vitu ukiviona kwa mwanamke unapaswa kuchukua hatua ili kujinusuru miongoni mwa dalili za mwanamke asiye kufaa ni hizi.

HAKUPIGII SIMU MPAKA APATWE NA SHIDA
kuna watu mpaka wamezoea kuwa wakipigiwa simu basi kuna tatizo kwakuwa mwanamke ambae hakupendi hawezi kukupigia simu kukusalimia mpaka apatwe na tatizo ambalo wewe unaweza kulitatua.

HAKUSHILIKISHI MAMBO YAKE
Katika mahusiano saivi watu huwa hawashilikishani katika mambo hasa ya usianayo na pesa na ukiona mwenzako hakuusishi inaamana hana imani na wewe na kama hana imani na wewe hawezi kudumu na wewe katika mahusiano.

MAJINA YENYE UTATA KATIKA SIMU YAKE
Skuizi watu wengi ambao wapo katika mahusiano wamekuwa na tabia ya kusevu majina ktk simu zao ambayo hayana ualisia na muhusika wa namba mfano..JOHN utakuta kamsevu JANETI CHUO ili usitie shaka mtu wa hivi hakufai.


HUONESHA KUVUTIWA NA MWINGINE ATA NAWEWE UKIWA KARIBU
Kuna baada ya wanaume na wanawake pia kuna wakati uonesha dhairi kuvutiwa na mtu mwingine aliye kalibu au aliye pita karibu yenu mtu wa namna hii hakufai yawezekana yupo kwako kwakuwa kuna vitu tuu unampatia na siyo kwakuwa anakupeda


MTU UNAE MFUMANIA MARA KWA MARA
Katika mapenzi kusameheana ni jambo jema lakini mtu ukimfumania zaid ya mara tatu mtu huyo si chaguo jema kwako huenda umeshimdwa kumlizisha au hajavutiwa na wewe yupo kwako kwakuwa unamjali unampa kilakitu kwaiyo akalazimika kuwa na wewe..

Hizi ni baadhi tuu ya sababu au dalili za mtu ambae hakufai katika mahusiano kwakuwa mahusiano ya kimapenzi ni jambo kubwa usipo zingatia laweza kuleta matatizo

Hivyo basi unashauliwa kuwa na mtu utakae weza kuishi nae na siyo yule ambae hauwezi kuishi bila yeye..


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)