msanii kutoka familia ya WCB diamond atoa videzo kujiunga na familia hiyo
diamondi amesema wanapata maombi mengi kujiunga na WCB lakini wao huwa wanaangalia vitu vingi na syo kma wazaniavyo watu
diamond amesema huwa wanaangaria saana wasanii kutoka familia maskini ili wainuane kiuchumi
wengi kutoka familia zinazo jiweza huwa hawana heshima na huwa wanapenda tuu maisha ya pale na siyo kujituma ivyo wanaangalia watu kutoka familia za chini ili wakasaidie na familia zao
DIAMOND ATAJA VIGEZO KUJIUNGA WCB
By -
June 07, 2017
0
Tags: