mchezaji wa zamani wa chelsea solomon kalou.atajwa upya kikosi cha ivorycost ambacho kimetajwa reo
mchezaji huyo alitangaza kustaafu punde baada ya kutupwa nje kwa timu ya ivorycost katika machindano ya afrika
ivorycost haikufanya vizuri michuano ya afrika hali iliyo pelekea mchezaji huyo kuamua kustaafu
mchezaji huyo wa miaka 31 alihama chelsea na kwenda kucheza ligi ya ujerumani mpaka sasa ambapo ameitwa tena katika timu ya taifa
kalou arudi timu ya taifa ya ivorycost
By -
May 19, 20170 minute read
0
Tags: