msanii wa hip hop kutoka morogoro stamina aja kivingine katika wimbo wake mpya alio ufanya na mauwa sama
wimbo huo unaoitwa LOVE ME umezungumzia mapenzi tofauti na alivyo zoeleka katika nyimbo zake za zamani kama kabwela na nyinginezo
akitambulisha video yake kayika kipindi cha fridaynight cha EATV stamina amesema mapenzi yana nafasi ata.kma kwenye hip hop ndyo maana ameamua kuzungumzia mapenzi katika nyimbo yake hiyo mpya
pia kuhusu mahusiano stamina amesema anampenzi wake wanapendana na yupo njiani kumuoa
stamina aja kivingine
By -
May 19, 20170 minute read
0
Tags: