wafungwa watoroka tena DRC

Admin
By -
0 minute read
0

Reo mapema imekuja tarifa kuwa nchini DRC wafungwa wengine wamefanikiwa kutoroka kutoka gerezani

wafungwa hawa wametoroka baada ya juzi wafungwa wengine zaidi ya 2700 kutoroka baada ya watu wenye siraha kuvamia gereza kinshasa

taarifa za wafungwa.kutoroka magerezani ni za mara kwa mara nchini DRC ambapo wafungwa hufanya matukio kma haya ya kutoroka

serikali imefikilia kutumia askari jeshi kwa sasa kulinda magereza ikiwa ni njia ya kukomesha matukio ya utorokaji wafungwa kama ilivyo kwisha tokea

akiongea na waandishi mkuu wa magereza ameonesha kusikitishwa na matukio kama haya yanayo fanya kuonekana jeshi la magereza kuwa ni dhahifu nchini humo


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)
Today | 14, March 2025