POLISI WAMTAKA DEREVA WA LISSU AHOJIWE

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon sirro amesema jeshi la polisi linataka kufanya mahojiano na dereva wa lissu ii asaidie uchunguzi

kamanda sirro amesema ili.uchunguzi uendelee dereva anahitajika kwakuwa yeye alikuwepo wakati tukio lina endelea

pia Sirro amesema anashindwa kuelewa ni matibabu gani ya kisaikolojia anayo tibiwa mpaka sasa wakati kwenye picha uki mtazama anaonekana yupo kawaida tuu

"inatia shaka kusikia anatibiwa wakati ki mwonekano yupo safi ma anafanya mahojiano na wana habari"

siro ali sisitiza ili zoezi la uchunguzi liendelee dereva anahitajika akafanyiwe mahojiano kwa kina

dereva wa lissu alipelekwa mjini Nairobi kwakile kilicho itwa kutibiwa tatizo la kisaikolojia baada ya kushuhudia shambulio lile kubwa la risasi

Post a Comment

Previous Post Next Post