WATU 7 WAFARIKI BAADA YA KUNYWA GONGO DAR

watu wapatao saba wame lipotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayo aminika kuwa ni gongo

tukio hilo limetokea maeneo ya kimara stop over ambapo watu saba walifariki baada ya kunywa pombe haramu haina ya gongo

mganga wa hospitali ya mwananyamala amesema amepokea miili ya watu saba wakiwa wamekwisha fariki baada ya kunywa pombe inayo sadikika ni gongo

inaonekana watu hao walikunywa pombe ambayo ilichanganywa na kitu kingine na wakati wana changanya walikosea hatua iliyo pelekea kutengeneza sumu mwilini

uchunguzi unaendelea kubaini chanzo kamili cha tukio hilo lililo chukuwa unai wa watu zaidi ya saba

Post a Comment

Previous Post Next Post