HATUA NNE ZA UGONJWA WA UKIMWI UNAPO UPATA

Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na si ugonjwa kama watu wengi wanavyo fikilia

inamaana unapo pata virusi vya HIV virusi hivi huenda kunyong'onyesha kinga ya mwili wako kitendo kinacho pelekea kuto kuwa na uwezo wa kupambana na magonjwa

virusi hivi hupitita hatua kuu nne ambazo huwa na dalili zake tofauti tofauti kwenye mwii wa binadamu

PRIMARY HIV INFECTIONS
hii ni hatua ya kwanza ambapo mwili huonesha dalili tofauti miongini mwa dalili hizi ni
:Kuvimba matezi kama uonavyo pichani juu
:Homa kali za muda mfupi na kutoweka
:Kuumwa koo kwa muda na baadae kupotea
:Uchovu mwili kuchoka na kuuma pia
:Kuharisha kutapika na maumivu ya tumbo kwa muda
Dalili hizi hutokea baada ya wiki nne au zaidi kutegemea na kinga ya mtu

CLINICALLY ASYMPTOMATIC STAGE
hii ni hatua ya pili kwa mtu mwenye virusi vya ukimwi ambapo mwenye ukimwi anaweza kumwambukiza mtu yoyote yule na huweza kuishi na hivi virusi hata miaka kumi bila yeye kujua na huweza kuambukiza wengine huku akijiisi
:Tezi kuvimba
'Homa za mala chache
:pia kujihisi joto kali muda wa usiku hata kukiwa na barudi

SYMPTOMATIC HIV INFECTIONS
hatua hii mgonjwa hujiisi homa huwa anaugua mala kwa mala pia hukonda ghafla anapungua uzuto chini ya asilimia kumi ya uzito wake

Hatua ya mwisho mgonjwa huwa kama hivyo pichani hupungua uzito zaidi ya asilimia kumi ya uzito wake huumwa homa za kila mala zisizo kuwa na mwisho pia nywele hunyonyoka na kupata pia fangasi ya koo mgonjwa anaweza kupata vidonda na mapele mwilini

Hizo ni hatua za ugonjwa wa ukimwi una shauliwa kupima afya kwakuwa waweza pata virusi leo ukakaa miaka kumi bila mabadiko kumbe ume asilika

Post a Comment

Previous Post Next Post