HAMISSA MOBETO AMFUNGULIA KESI DIAMOND MAHAKAMANI

Mwana mitindo na video queen Hamissa mobeto amemfungulia kesi msanii Diamond platnumz

hamissa amefungua kesi kwenye mahakama ya kisutu dar es salaam akimtuhumu mzazi mwenzake diamind kuto hudumia mtoto na kukataa kumwomba msamaha

mobeto amefungua kesi hiyo akimtuhumu msanii diamond kuto toa huduma kwa mtoto walio zaa kwa kipindi cha miezi miwili

mobeto amesema kwa miezi miwili msanii huyo hajatoa huduma yoyote kwa mtoto wake japo kuwa amekuwa akisema ana muhudumia

baada ya kufungua kesi hiyo diamond kapewa taarifa na kesi itasomwa oktoba 25 mwezi huu mahakama ya kisutu

Post a Comment

Previous Post Next Post