Jeshi la marekani limesibitisha kutokea vifo vya makomandoo wao wanne nchini Niger
jeshi limesema makomando hao walikuwa nchini Niger wakitoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa nchi hiyo kwa kipindi kirefu sasa
kwa mujibu wa taarifa wana mgambo wa alquider wanaaminika kufanya shambulio hilo ambalo lilikuwa ni la kushtukiza
baadhi ya majeruhi wamepelekwa hospitali lakini wanne wamepoteza maisha katika shambulio lililo fanyika kwenye maeneo ya mpakani na mali
jeshi la marekani linaendesha mafunzo maalumu ya kijeshi katika nchi hiyo ili kusaidia mapambano dhidi ya bokho haram na alquider ambao wanasumbua kipindi kirefu
kufuatia tukio hilo raisi wa Niger ametoa salam za pole kwa marekani huku akilaani tukio hilo lililo chukua uhai wa makomandoo wanne

Tags
Kimataifa