AKUTWA AMEJINYONGA CHUMBANI KWAKE

MWANZA:Mkuu wa shule ya sekondari ya mgukulama ya wilayani sengerema mkoani mwanza Benedicto  miaka 45 amekutwa amejinyonga chumbani kwake

kwa mujibu wa taarifa mwalimu huyo alikutwa akiwa amejinyonga chumbani kwake ndani ya nyumba yake huku kukiwa hakuna ujumbe wowote

kwa mujibu wa wana familia wanasema mpaka sasa hawajui kwanini marehemu alifikia uamuzi wa kujiondolea uhai kama ambavyo amefanya

hatua ya kujinyonga imekuja miaka mitatu baada ya mwalimu huyo kumpoteza mke wake

jeshi la polisii limesema limepokea taarifa ya kujinyonga kwa mwalimu huyo ambae hajaacha ujumbe wowote na wame haidi kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post