IGP SIRRO ASEMA WANAMSHUGHURIKIA MANGE KIMAMBI

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon sirro amesema makosa yafanywayo na mwana mitandao mange kimambi wana yafahamu na wana mshughulikia

sirro amesema jeshi lake lina fahamu mambo yanayo fanywa na mwana dada huyo na hawawezi sema wamefikia wapi ila wana shugulikia

mange kimambi ambae anaishi nchini marekani amekuwa maarufu kwenye mtandao wa instagram kwajinsi anavyo kosoa na muda mwingine kutuhumiwa kutoa lugha za matusi kwa viongozi wa serikali

sirro amesema wanafahamu na hawata mwacha aendelee kupotosha watu kwa kutumia kigezo cha uana harakati au ukosoaji ambao una matusi ndani yake

Post a Comment

Previous Post Next Post