Msanii wa muziki wa hip hop bill.nass afunguka kuhusu kumuoa msanii mwenzake nandy
bill nass alisema nandy anavigezo vyote vya kuwa mke wake lakini hajafikilia kuoa kwa sasa
"nandy ni mwanamke mzuri na ametimuza asilimia sitini ya vigezo vya kuwa mke wangu ila kusema hivi haina maana kuwa ni mpenzi wangu hapana"
kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi kuwa wawili hawa wana mahusiano ya kimapenzi lakini wao hawajaweka wazi kuhusu uhusiano wao ambao unazungumziwa kwa kipindi kirefu
Tags
Entertaiment