DIAMOND AMFUATA ZARI AFRIKA KUSINI

Baada ya diamond kukili kuwa alizaa na hamissa mobeto hatua iliyopelekea watu kuhisi pengine wasinge elewana kati ya diamond na zarri lakini imekuwa tofauti

hatimae diamond akapost video akiwa afrika kusini nyumbani kwa zarri.akicheza na mwanae tiffah

diamond alikili kuwa aliwai chepuka na hammisa na kumpatia ujauzito huo lakini zarri anafahamu kitambo hatua iliyopelekea zarri kumkanusha kuwa hafahamu na asimchezee

pia dada wa diamond esmah nae alipost video hiyo akisema raha yat mtoto apate malezi ya baba na mama na kusema wana furaha hakuna tatizo kwa sasa

Post a Comment

Previous Post Next Post