RAISI ATANGAZA AJIRA 3000 JWTZ

Raisi magufuri leo alikuwa mkoani arusha ambako aliwapandisha vyeo maafisa wajeshi la wananchi wa Tanzanhia

katika hafla hiyo magufuri alisema siyo maafisa tu jeshi linaitaji na wanajeshi wa kawaida ili kujiimalisha

katika hafla hiyo raisi amesema JWTZ iajili vijana wapya 3000 ili kuongeza idadi ya askari watakao linda mipaka yetu

pia amesisitiza kuwa waajiliwe vijana walio pitia JKT  kwa kipaombele cha kwanza katika ajila hizo mpya alizo tangaza

Post a Comment

Previous Post Next Post