
Nchini India kulikuwa na visa vya baadhi ya wanawake kuibiwa nywele zao na watu wasio wafahamu
mwanamke pichani alimulikwa na mwanga mkari usoni na alipo zinduka akajikuta amekatwa nywele zake huku asijue wapi wanapeleka nywele hizo
baada ya matukio kuwa mengi polisi wakafanya msako na kufanikiwa kuwakamata wezi wa nywele na walipoojiwa wakajibu kuwa huwa wanaziuza kwa watu ili watengenezee mawigi
visa vya kuibiwa nywele vimekuwa vingi nchini india wanawake wengi ujikuta wamekatwa nywele zao hali iliyo watia hofu wanawake wengi
Tags
Kimataifa