LOWASA APIGA KAMPENI NCHINI KENYA AKIMSAPOTI UHURU KENYATA

Zikiwa zimebskia siku mbili kufanyika uchaguzi nchini kenya hatimae lowasa nae apanda jukwaani kumwimbea kura Uhuru kenyata

lowasa alipanda jukwaani na kuwaomba wakenya wampigie kura Kebyata kwakuwa ni kiongozi mzuri.kwa maendeleo ya kenya

pia Lowasa amesema sababu kubwa ya yeye na Chadema kumsapoti.Kenyata ni kwasababu kenyata ni kiongozi shupavu na mpenda demokrasia ya keeli

Uhuru anachuana vikari na mgombea anae ungwa mkono na baadhi ya vyama vya upinzani vinavyojiita.NASA kata kiti cha uraisi huku wapinzani wakiwa wamemsimamisha Raila.Odinga.

katika uchaguzi uliopita Odinga aligombea na alishindwa dhidi ya kenyatta na sasa ameamua kujarubu kwa mara nyingine

Post a Comment

Previous Post Next Post