MWIZI AKUTWA AMELEWA NDANI YA NYUMBA ALIYOTAKA KUIBA



Mwizi mmoja atoa kali ya mwaka baada ya kukutwa amelewa ndani ya nyumba aliyo enda kuiba

mwanaume mmoja wa miaka 36 alivunja nyumba na kuingia ndani kwa  nia
ya kwenda kuiba lakini alipo kuta pombe aina ya Champaing akaamua kunywa na hatimae kulewa

mwenye nyumba alipo rudi akamkuta mwizi huyo amelala kitandani akiwa chakari na pombe

ndipo mwenye nyumba akapiga simu polisi na wakaja kumkamata kiulaini akiwa amelewa hajitambui magharibi mwa Australia


Post a Comment

Previous Post Next Post