MAN UNITED YAMNUNUA MATIC KUTOKA CHELSEA



Man United imekamilisha usajili wa Nemanja Matic kutoka chelsea kwa mkataba wa miaka mitatu

matic ameenda man united kwa kitita cha paun milion 40 mapema leo akitokea timu ya chelsea

Matic ni mchezaji wa tatu kusajiliwa na Man United msimu huu wa kukaribia kuanza kwa ligi kuu

Matic amesema anafuraha kujiunga na timu hii mpya katika kipindi hiki cha kusisimua barani ulaya


Post a Comment

Previous Post Next Post