MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA NA POLISI



Mbunge wa chadema jimbo la Mbozi Pascal Haonga akamatwa na polisi mapema leo

mbunge huyo amekamatwa na kuhojiwa na polisi mkoani Mbeya huku kisa cha kukamatwa kikiwa hakijajulikana mpaka sasa

mbunge huyo amekamatwa kwenye mji wa Mlowa mkoani Mbeya na kupelekwa polisi ambapo.mkuu wa polisi alipoulizwa hakuwa tayari kunijibia.


Post a Comment

Previous Post Next Post