
Mapema leo kupitia ukurasa wake wa Instagram mchungaji Gwajima.ametangaza kununua ndege mpya pichani
Gwajima ambae yupo nchini Japani kwa ziara ya kidini amesema muda si mrefu ntaileta hii Jett nchini Tanzania kwaajili ya shughuli za ufalme wa mungu
Gwajima ambae anamiliki Helkopta ya kibinafsi sasa ameamua kununua ndege ambapo miezi kadhaa nyuma alihaidi kununua treni ya umeme itakayo saidia watanzania

Tags
Kitaifa