BABY MADAHA AMPNDA SHILOLE KUUZA MAMA LISHE



Msanii wa muziki wa kizazi kipya Baby madah amponda shilole baada ya kufungua mgahawa wa kuuza chakura

baby madah alipoulizwa kwanini hana kazi mpya lakini anaishi maisha mazuri mjini

Baby madaha akajibu shule muhimu yeye alisoma ndyo maana leo hana shida kwakuwa alisoma saizi anatumia shule yake kuishi mjini vinginevyo angeuza mama lishe

na alipoulizwa kuhusu kuumwa kwa jini kabura amesema bado wanamsaidia na wana group la whatsap wanashauliana kumsaidia na kumchangia pia


Post a Comment

Previous Post Next Post