MAYAI YENYE SUMU YA GUNDURIKA UJERUMANI



Nchini ujerumani maduka makubwa yamelazimika kumwaga mayai waliyokuwa wakiyauza baada ya kubainika sumu ndani yake

mayai zaidi ya milion kumi yamevunjwa baada ya kubainika kuwa na sumu ndani yake inayoweza kusababisga magonjwa

sumu hiyo yaweza kusababisha kansa na marazi ya koo hatua hii imekuja baada yauchunguzi uliofanywa na hatimae wenye maduka wamekubari kuyavunja kutokana na kuwa na sumu ndani yake


Post a Comment

Previous Post Next Post