
Marubani wawili wafukuzwa kazi baada ya kumluhusu mtoto mdogo kuendesha ndege ya abiria
katika video iliyo chapishwa inaonesha mtoto mdogo akiwa kwenye chumba cha kuongozea ndege akibonyeza vitufe
mtoto huyo akiwa na sare za marubani alionekana akieendesha ndege huku ndege hiyo ikiaminika kuwa na abiria
marubani hao wamefukuzwa kazi kwakuwa wamevunja taratibu za usafirishaji na wanafanyiwa uchunguzi
Tags
Kimataifa