
Mwanamke mmoja nchini india amacha watu midomo wazi baada ya kuaminika kafufuka
mwanamke huyo alifariki baada ya kuumwa na nyoka na familia haikumchoma moto ikamwacha akielea mtoni miaka 40 iliyopita
mwanamke huyo aliokotwa na wavuvi mamia ya kilomita kutoka kwao ambako alisaidiwa na hatimae kuolewa huko kwa kuwa alipoteza kumbukumbu
baada ya miaka 40 sasa akiwa na miaka 80 akakutana na mwanakijiji wa kijiji chake ndipo akamfumbua uelewa
baada ya hapo akampeleka nyumbani kwao ambako aliaminika kufariki na kumwacha kila mtu akishangaa
Tags
Entertaiment