MZUNGU AKAMATWA BAADA YA KUCHUKUA WANAWAKE NA KUMPATIA CHATU WAKE KAMA CHAKURA



Nchini zambia mzungu mmoja raia wa uingereza akamatwa na polisi baada ya kuwachukuwa wanawake anafanya nao mapenzi akimaliza anawafanya chakura kwa chatu wake

mzungu huyo huwa na tabia ya kuchukua machangudoa na kwenda kujamiiiana nao lakini akisha maliza huwa hawatoki kumbe anafuga chatu na huwafanya wanawake hao kama chakura

majirani walitoa taarifa polisi kuwa kwenye ile nyumba wanawake wakiingia huwa hawatoki ndipo wakaamua kuchunguza na kubaini mchezo huo ufanywao na huyo mzungu

ndani ya nyumba wamemkuta pia chatu akiwa amemmeza mwanamke anae sadikika kumezwa jana yake


Post a Comment

Previous Post Next Post