WANAFUNZI 10 WAFUTIWA MATOKEO KIDATO CHA SITA



Baraza la mitihani la taifa NECTA mapema leo limetangaza matokeo ya kidato cha sita na ya ualimu ambapo shule ya FEZA GIRS ikifanya vizuri kitaifa

katika matokeo hayo wasichana wamewapiku wavulana katika ufahulu na wamefaulu kuwashinda wavulana katika matokeo hayo

baada ya kutangaza matokeo hayo pia NECTA imetoa taarifa ya kuwafutia matokeo wanafunzi kumi waliofanya udanganyifu katika matokeo yao

kati ya waliofutiwa matokeo saba ni washule na watatu ni watahiniwa binafsi ambao walijaribu kufanya udanganyifu katika mtihani huo

pia wametangaza kusitisha baadhi ya matokeo ya watainiwa ambao hawakufanya mitihani yoote kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiafya hivyo watatakiwa kurudia tena mwakani mwezi watano kama watahiniwa wa shuleni.


Post a Comment

Previous Post Next Post