Aliyekuwa wazili mkuu mstaafu fredrick sumaye asema hawato kaa kimya huku demomokrasia ikikandamizwa
sumaye ambae alihama ccm na kuingia chadema amesema hawato kaa kimya ingawa serikali inasema saizi siyo muda wa siasa lakini watapaza sauti
Sumaye anasema wakikaa kimya mpaka 2018 hakutakuwa na mtaa wenye shina la chadema ndani ya tanzania hii kwakuwa kila kukicha demokrasia inazidi kukandamizwa hawatakubari
amesema kila kukicha viongozi wa upinzani wanakamatwa bila ya makosa ya msingi huu ni mpango wa kuuzoofisha upinzani huku wakitumia pesa kuwanunua wale wasio na uzarendo
Tags
Kitaifa