Kufuatia kutokea kwa mauaji wilayani kibiti wanachama wa ccm wakataa kuchukua fomu za kugombea uongozi
wilayani kibiti wanachama wanaogopa kuchukua form wakihofia mauaji yanayo endelea kibiti
wanachama hao wameiomba ccm wilaya kusogeza mbele uchaguzi kwakuwa saivi hali ya amani ni ndogo hivyo wameomba wasitishe mpaka amani itakapo tenga maa
kumekuwa na taarifa za mauaji ya mara kwa mara yakiwalenga viongozi wa ccm wilayani kibiti hatua iliyo zidisha hofu
Tags
Kitaifa