Baba mmoja nchini naijeria akamatwa akijaribu kumuuza mtoto wake wa kiume
baba huyo alikuwa aliitaji pesa kwaajili ya kuendesha mazishi ya mama yake lakini hakuwa na pesa za mazishi akamwambia rafiki yake wamuuze mtoto wake wakiume wa miaka sita
mtu ambae alitakiwa kuuziwa mtoto huyo ndiyo alitoa taaria kwa polisi kuwa kuna watu wanaitaji kumuuza mtoto ili wapate pesa za mazishi
baada ya kukamatwa watu hao waliachiwa kwa dhamana ya naira laki moja
Tags
Kimataifa