Diwani wa kata ya msigani ubungo da es salaam Israel mushi miala.48 na mrasimu ramani wa manispaa ya ubungo Mwanjela Peter miaka 28 wana shikiliwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 5000000
mkuu wa TAKUKURU kinondoni Teddy amesema watuhumiwa hao walipokea kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mtu mmoja jina limehifadhiwa na walitarajia kupokea kiasi kingine cha shilingi 10000000 kutoka kwa huyo mtu
walipokea pesa hizo ili wakafanye ushawishi kwenye kamati ya wajumbe wa nao husika katika kubadiri michoro na kutoa vibali vya ujenzi katika manispaa ya ubungo
uchunguzi bado unaendelea na utakapo kamikika watapandishwa kizimbani kujibu mashtaka yao
Tags
Kitaifa