TETEMEKO LA ARDHI LATOKEA KARAGWE



Mapema leo majira ya saa nne hasubui lilitokea tetemeko la ardhi mjini karagwe lililo dumu kwa muda wa sekunde kadhaa

tetemeko hilo dogo halija sababisha madhara yoyote kwa watu na mari zao kwakuwa lilikuwa dogo lisilo na madhara

baadhi ya watu walikimbilia nje baada ya tetemeko hilo wakihofia uhai na usalama wao kwakuwa matetemeko huwa yanatokea mara nyingi katika maeneo yao

serikali imeendelea kuwataka wananchi kuwa makini kwakuwa matetemeko yanaweza tokea muda wowote hivyo wawe makini kurinda usalama wao


Post a Comment

Previous Post Next Post