EBITOKE AFUNGUKA KUWA HANA UHUSIANO NA BEN POL ILIKUWA KIKI BENI PAUL ALILIPWA MIL 3

Kulikuwa na penzi jipya lililo sumbua saana kwenye mitandao ya kijamii kati yaBen paul na Ebitoke na kila mtu alifahamu kuwa ni wapenzi

lakini ukweli umebainika kuwa siyo wapenzi na ilikuwa kiki tuu ya kukuza biashara yao ya uigizaji na ben paul alilipwa milion 3 kwa kazi ile

Post a Comment

Previous Post Next Post